HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI
BARUA ZOTE ZITUMWE KWA MKURUGENZI MTENDAJI (W)
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Mkurugenzi mtendaji kwa niaba ya halmashauri ya wilaya ya kilindi anawatangazia wananchi wote wenye sifa kuomba ba kujaza nafasi za kazi zifuatazo:-

1. KATIBU MAHUSUSI NAFASI 4
Katibu mahsusi daraja la III ngazi ya mshahara TGS B.
a. SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe amehitimu kidato cha nne na kuhudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu.
ii. Awe amefaulu somo la hati mkato Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
iii. Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa ba serikali na kupata cheti katika program za windows Microsoft office, internet, email na publishers.
b. KAZI NA MAJUKUMU
i. Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida.
ii. Kusaidia kupokea wageni, kuwasaidia shida zao na kuwaeleza sehemu wanaweza kushughurikiwa.
iii. Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuri zake kwa wasaidizi wake na pia kuwaarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
iv. Kusaidia kupokea majalada, kugawanya kwa maofisa walio katika sehemu alipo ,kukusanya ,kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA.
• Kila mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 ya kuzaliwa.
• Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi katika mazingira ya vijiji na si chini ya mitatu baasa ya kuajiliwa.
• Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono na mwombaji mwenye we na ziambatanishwe na vivuli vya vyeti vya taaluma na ujuzi. Pia mwombaji aambatanishe picha mbili za passport za hivi karibuni zikiwa zimeandikwa majina ya nyuma na cheti cha kuzaliwa.
• Mwombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitoshereza yenye anuani na namba za simu zinazoaminika.
• Waombaji waliostafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kwa kibali cha katibu mkuu kiongozi.
• Kwa wale waliokuwa wameomba kwenye tangazo la awali wanashauriwa kuomba upya.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 29/12/2014 saa 99: 30 alasiri.
• Maombi yote yatumwe kwa:
Mkurugenzi mtendaji (W)
S.L.P 18
SONGEA- KILINDI.
D.R.Mayeji
Mkurugenzi mtendaji (w)
Kilindi.
========
SONGEA-KILINDI.

2. MTENDAJI WA KIJIJI NAFASI 25.
Mtendaji wa kijiji daraja la III, ngazi ya mshahara TGS B.
a. SIFA ZA MWOMBAJI.
Kuajiliwa wenye elimu ya kidato cha nne na sita aliyehitimu mafunzo ya astashahada katika moja ya fani zifuatazo , utawala, sharia, elimu ya jamii na usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.
b. KAZI NA MAJUKUMU
i. Afisa masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya vijiji.
ii. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlizi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji.
iii. Kuratibuna kusimamia upangaji wa utekelezaji wa n=mipango ya maendeleo ya kijiji.
iv. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekerezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji.
v. Katibu wa mikutano na kamati zote za halamashauri ya kijiji.
vi. Kutafsiri na kusimamia sera, sharia ba taratibu.
vii. Kuandaa taarifa za utekerezaji wa kazi katika eneo lakena kuhamasisha wananchi katika kuandaa na utekerezaji wa wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchikatika kuandaa na kutekereza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini, na kuongeza uzalishaji mali.
viii. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaaluma katika kijiji.
ix. Kusimamia, kukusanya ba kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji.
x. Mwenyekiti wa wa kikao kikao cha wataalam waliopo katika kijiji.
xi. Kupokea kusimamia na kutatual malalamiko ya migogoro ya wananchi.
xii. Kusimamia utungaji wa sharia ndogondogo za kijiji.
MAMBOMUHIMU YA KUZINGATIA.
• Kila mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 ya kuzaliwa.
• Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi katika mazingiraya vijiji na si chini ya mitatu baasa ya kuajiliwa.

• Kwa wale waliokuwa wameombakwenye tangazo la awali wanashauriwa kuomba upya.

0 comments:
Post a Comment