Showing posts with label UTUMISHI. Show all posts

Thursday, July 3, 2014

MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO TAREHE 5 JULAI 2014

MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO
WAJIRI:-
1.    College Of Business Education (CBE)
2.    Small Industries Development Organisation (SIDO)
3.    Social Security Regulatory Authority (SSRA)
4.    Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA)

MAHALI: CHUO CHA MWALIMU NYERERE
TAREHE: 05/07/2014

                                      MUDA WA KUANZA USAILI

                           AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI

WAHUSIKA: 
1.COMPUTER LAB.TECH - CBE
2.T.A. MATHS AND STATISTICS - CBE
3.PRINCIPAL ACADEMIC OFFICER - CBE 
4.LINGUISTIC KISWAHILI – MNMA
5.T.A. ECONOMICS – MNMA
6.T.A. PROCUREMENT - MNMA

                             AWAMU YA PILI: SAA TATU KAMILI ASUBUHI

WAHUSIKA: 
1.ACCOUNTANT II – SSRA
2.MANAGEMENT INFO. SYSTEM II – SSRA  
3.INTERNAL AUDITOR II – SSRA                         
4.PROCUREMENT AND LOGISTICS OFFICER  - SSRA                    
5.SENIOR PUBLIC RELATIONS OFFICER  - SSRA 
6.SENIOR HR AND ADMIN. OFFICER II – SSRA  
7.COMPLIANCE OFFICER  II – SSRA                                
8.RESEARCH AND POLICY ANALYST OFFICER II – SSRA                
9.RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT - SSRA

                             AWAMU YA TATU: SAA TANO KAMILI ASUBUHI

WAHUSIKA:                                       
1. PUBLIC RELATIONS OFFICER - SSRA
2. LEGAL OFFICER II – SSRA
3. REGISTRATION OFFICER II –SSRA
4. ASSITANT ACCOUNTANT II – SIDO
5. BUSINESS DEVELOPMENT OFFICER II – SIDO
6. LEGAL COUNSELLOR II - SIDO
7. FOOD TECHNOLOGIST II – SIDO
8. ACCOUNTS ASSISTANT TECHNICIAN II – SIDO

AWAMU YA KWANZA  -  SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
UKUMBI
KADA
GARDEN HALL 1
COMPUTER LAB.TECH - CBE
T.A. MATHS AND STATISTICS - CBE
PRINCIPAL ACADEMIC OFFICER - CBE
GARDEN HALL 4
T.A. LINGUISTIC KISWAHILI – MNMA
T.A. ECONOMICS – MNMA
T.A. PROCUREMENT - MNMA
AWAMU YA PILI - SAA TATU KAMILI ASUBUHI
UKUMBI
KADA
JENGO LA UTAMADUNI
ACCOUNTANT II – SSRA
MANAGEMENT INFO. SYSTEM II - SSRA
 LECTURER THEATER
INTERNAL AUDITOR II – SSRA
PROCUREMENT AND LOGISTICS OFFICER  - SSRA
GARDEN HALL 1
SENIOR PUBLIC RELATIONS OFFICER  - SSRA
SENIOR HR AND ADM.OFFICER II - SSRA
GARDEN HALL 3
COMPLIANCE OFFICER  II - SSRA

GARDEN HALL 4
RESEARCH AND POLICY ANALYST OFFICER II - SSRA
RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT - SSRA

AWAMU YA TATU - SAA TANO KAMILI ASUBUHI
UKUMBI
KADA
JENGO LA UTAMADUNI
PUBLIC RELATIONS OFFICER  - SSRA
LEGAL OFFICER II – SSRA
REGISTRATION OFFICER II -SSRA
LECTURER THEATER
ASSITANT ACCOUNTANT II - SIDO
GARDEN HALL 3
BUSINESS DEVELOPMENT OFFICER II - SIDO

GARDEN HALL 4
LEGAL COUNSELLOR II - SIDO
FOOD TECHNOLOGIST II – SIDO
ACCOUNTS ASSISTANT TECHNICIAN II - SIDO

Wednesday, July 2, 2014

DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) – NAFASI 3

Dereva Daraja La II (Driver II) – Nafasi 3
Nafasi hizi ni kwa ajili yaMkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
12.1 MAJUKUMU YA KAZI
Kuendesha magari ya abiria, magari madogo na malori
• Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya
uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji
matengenezo,
• Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari,
• Kutunza na kuandika daftari la safari "Log-book" kwa safari zote.
12.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni daraja la "C" ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali na wenye Cheti cha Majaribio ya ufundi Daraja la II (Trade test II).
12.3 MSHAHARA Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGOS.A kwa mwezi.

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. -Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI -Computer Certificate -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) -Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Katibu
Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

DAKTARI MIFUGO MKUFUNZI DARAJA LA II (VETERINARY TUTOR II) – NAFASI 1

Daktari Mifugo Mkufunzi Daraja La Ii (Veterinary Tutor Ii) – Nafasi 1
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
6.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo
• Kuandaa mtiririko wa kila somo (lesson plan) kwa upande wa nadharia na
vitendo
• Kufundisha kozi za stashahada na astashahada kwa upande wa nadharia na
vitendo.
• Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa
kujifunza
• Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote
kinachohusika na kutunza alama zao.
• Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na madaktari /maofisa mifugo
wa wilaya, wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practicals).
• Kufanya kazi nyingine zozote kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
6.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Bodi ya Madaktari Tanzania.
6.3 MSHAHARA • Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS E kwa mwezi

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. -Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI -Computer Certificate -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) -Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Katibu
Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

MKUFUNZI MIFUGO DARAJA II (ANIMAL SCIENCE) – NAFASI 3

Mkufunzi Mifugo Daraja Ii (Animal Science) – Nafasi 3

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
7.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo.
• Kuandaa mtiririko wa kila somo (Lesson Plan) kwa upande wa nadharia na vitendo.

7.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya Sayansi ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
7.3 MSHAHARA Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS D kwa mwezi.

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. -Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI -Computer Certificate -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) -Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Katibu
Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

AFISA UTAFITI MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK RESEARCH OFFICER II) – NAFASI 8

Afisa Utafiti Mifugo Daraja La Ii (Livestock Research Officer II) – NAFASI 8
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
9.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kujifunza kumudu mbinu na taratibu za utafiti wa mifugo/ndorobo
• Kufanya utafiti chini ya usimamizi wa Afisa Utafiti Mwandamizi.
• Kuandika na Kuweka kumbukumbu za utafiti.
• Kusaidia kuendesha semina na maonyesho ya ufugaji bora.
• Kuandaa mapendekezo ya utafiti (Research Proposals) kwa kushirikiana na Afisa Utafiti Mifugo anayesimamia. • Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
9.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza (bachelor degree) ya Sayansi ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
9.3 MSHAHARA • Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS D kwa mwezi.

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. -Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI -Computer Certificate -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) -Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Katibu
Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

AFISA UTUMISHI DARAJA LA II (HUMAN RESOURCES OFFICER GRADE II) – NAFASI 101

Afisa Utumishi Daraja La II (Human Resources Officer Grade II) – Nafasi 101
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Wizara, Mikoa na Halmashauri za Wilaya.
10.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote katika Wizara, Mikoa, Wilaya na Idara zinazojitegemea kulingana na mahali alipo.
• Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo ya utumishi. • Kutafiti, kuchanganua na kukadiria idadi ya watumishi wanaohitaji mafunzo. • Kuandaa na kupanga mipango ya mafunzo ya muda mfupi na mrefu. • Kukadiria na kupanga mahitaji ya vifaa vya mafunzo kwa kushirikiana na vyuo
vilivyopo chini ya sekta zinazohusika. • Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbu zote zinazohusu mipango ya watumishi.
10.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo:¬
• Menejimenti ya Raslimali Watu (Human Resources Management). • Elimu ya Jamii (Sociologly). • Utawala na Uongozi (Public Administration). • Mipango ya Watumishi (Manpower Planning). • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
10.3 MSHAHARA • Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. -Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI -Computer Certificate -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) -Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Katibu
Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

AFISA ARDHI MSAIDIZI – NAFASI 1

AFISA ARDHI MSAIDIZI – NAFASI 1
Afisa Ardhi Msaidizi – Nafasi 1

Nafasi hii ni kwa ajili ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Iringa.
11.1 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Kidato cha Sita, waliofuzu mafunzo ya miaka miwili ya Umiliki Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vya Ardhi au Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
11.2 MSHAHARA
• Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C Tsh: 201,870/= na kuendelea hadi Tsh: 250,930/= kwa mwezi.
11.3 MAJUKUMU YA KAZI
• Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta • Kutoa ushauri kwa wateja. • Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji. • Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa,
vipimo vya majumba na michoro. • Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi. • Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan)
• Kuagiza plani za Hati (Deed Plan)

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. -Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI -Computer Certificate -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) -Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Katibu
Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma
S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

MKUFUNZI KILIMO DARAJA LA II (AQUACULTURE) – NAFASI 3

Mkufunzi Kilimo Daraja La Ii (Aquaculture) – Nafasi 3
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
3.1 KAZI NA MAJUKUMU
• Kusoma na kuelewa vema mihutasari ya mafunzo na kuitafsiri kwenye masomo.
• Kuandaa mtiririko na mpangilio wa masomo (lesson sequences and plans) kwa upande wa nadharia na vitendo.
• Kufundisha kozi za Stashahada na Astashahada nadharia na vitendo.
• Kuandaana kufundisha kozi za Wakulima.
• Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa
kujifunza.
• Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote kinachohusika na kutunza alama zao.
• Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na Maofisa Kilimo wa Wilaya/Viwandani wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practical).
• Kutekeleza shughuli nyingine za kikazi kadri atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
3.2 SIFA ZA KUINGILIA MOJA KWA MOJA
• Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya AQUACULTURE kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali, waliohitimu kozi ya mbinu bora za kufundishia (Teaching Methodology).
3.3 MSHAHARA Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS.D kwa mwezi.