Thursday, September 25, 2014

CALL FOR INTERVIEW - FINANCE MANAGEMENT OFFICER II - TANZANIA BUILDING AGENCY (TBA)


CALL FOR INTERVIEW - FINANCE MANAGEMENT OFFICER II - TANZANIA BUILDING AGENCY (TBA)
TAARIFA YA MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA FINANCE MANAGEMENT OFFICER II WA TANZANIA BUILDING AGENCY (TBA)

Wasailiwa wa kada tajwa hapo juu wanataarifiwa kuwa kuna mabadiliko ya ratiba. Badala ya kuwa na usaili wa tarehe 1/10/2014 pekee, sasa wataanza na usaili wa Mchujo tarehe 27/09/2014 na baadaye utafuata usaili wa Ana kwa Ana Tarehe 1/10/2014.

Mahali: Usaili wa mchujo ni Mwalimu Nyerere Memorial Academy, saa moja kamili asubuhi.
Mahali: Usaili wa ana kwa ana ni ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Maktaba kuu ya Taifa, Barabara ya Bibititi Mohamed, saa  moja kamili asubuhi.


0 comments:

Post a Comment