Tuesday, January 3, 2012

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA VIFO VYA AZIZ SHEWEEN NA BALOZI ATHUMANI MHINA


Rais jakaya kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Aziz Sheween, Mikocheni jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Afisa huyo wa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, kilichotokea huko Riyadh, Saudi Arabia.

Rais Kikwete akiwa na familia na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki huko Riyadh, Saudi Arabia.

Rais Kikwete akiagana na familia ya marehemu ya Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefairiki juzi huko Riyadh, Saudi Arabia.

Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika Madale jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Rais Kikwete akipata maelezo alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Waombolezaji wakiwa Madale, nyumbani kwa hayati Balozi Mhina

Makada wa CCM wakiwa msibani kwa marehemu Balozi Mhina

Rais Kikwete akiagana na waombolezaji nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.

Rais Kikwete akiwa msibani nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.



0 comments:

Post a Comment