Friday, December 19, 2014

WATECHNOLOJIA MAABARA WASAIDIZI


WATECHNOLOJIA MAABARA WASAIDIZI
Katika kuchangia jitihada za Serikali za kuboresha utoaji na upatikanaji wa huduma bora za afya, Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS (BMAF) imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ukiwemo Mradi wa kuimarisha maabara za Hospitali za Mikoa unaotekelezwa chini ya ufadhili wa Abbott Fund Tanzania.
Katika mwendelezo wa jitihada hizi, Taasisi ya BMAF kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Abbott Fund Tanzania, inatekeleza mradi wa kuimarisha huduma za afya kwenye maabara kuu ya Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili ambapo moja ya lengo ni kuongeza wataalam wa maabara kumi na sita (16) katika Idara hiyo. iii kutekeleza mradi huu, Taasisi inatangaza nafasi 16 za ajira ya ngazi ya Wateknolojia Maabara Wasaidizi (Assistant Laboratory.Technologist), na waombaji wanapaswa kuwa na sifa zifuatazo:
Sifa kwa waombaji
Cheti cha kuhitimu mafunzo ya Wateknolojia Wasaidizi wa Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali
Cheti cha kidato cha nne nalau cha sita
Ujuzi na uzoefu wa kutumia programu mbalimbali za kompyuta kama Microsoft Office (word, excel, power point

Izingatiwe kwamba:
Ajira ndani ya mradi huu itatolewa kwa mkataba na mara baada ya kukamilika kipindi cha mkataba, waajiriwa
wote katika Mradi huu watatakiwa kujiunga katika Utumishi wa Umma kulingana na Taratibu na Kanuni za Ajira ya Serikali
Watumishi waliopo katika ajira ya Utumishi wa Umma, au katika TaasisiNyuo vya mashirika ya dini (FBOs) hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi. Hii inajumuisha watumishi walioacha kazi serikalini kwa sababu mbalimbali (aidha kwa hiari au kufukuzwa)
Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 30 ifikapo tarehe ya mwisho wa tangazo hili

Maombi vote yaambatanishwe na:
Barua ya maombi ya kazi ionyeshe ridhaa ya kujiunga na utumishi wa umma, baada ya kukamilika kipindi cha mkataba
Nakala ya Cheti cha Taaluma na Cheti cha kidato cha nne (4) nalau cha sita (6), na viwe vimethibitishwa na Hakiniu au Wakili.
Picha mbili (2) - saizi ya Pasipoti na wasifu binafsi (CV), ikionesha umri, anuani kamili na namba ya simu ya kiganjani, pamoja na anuanil namba ya simu ya kiganjani ya wadhamini wako wasiopungua watatu.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa anwani ifuatayo:
Afisa Mtendaji Mkuu, Benjamin William Mkapa HIVlAIOS Foundation, SLP 76274, Kiwanja Na. 372, Barabara
ya Chole, Masaki - Dar es salaam
Tangazo hili linapatikana pia katika tovuti iliyopo juu


0 comments:

Post a Comment