Friday, May 22, 2015

USAILI NFRA TAREHE 25-29 MEI 2015 (Call for Interview)

KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma  kwa niaba ya
National Food Reserve Agency (NFRA)  anatarajia kuendesha usaili na
hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia
yafuatayo:
1.  Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa  4:00  kamili asubuhi  kabla ya muda
wa mtihani wa mchujo kuanza.
2.  Kuja na kitambulisho kwa ajili  ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3.  Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne,
sita,  Stashahada,  Stashahada  ya  Juu,  Shahada  na  kuendelea
kutegemeana na sifa za mwombaji.
4.  â€œTestmonials”,  â€œProvisional  Results”,  â€œStatement  of  results”,  hati
matokeo  za  kidato  cha  nne  na  sita  (FORM  IV  AND  FORM  VI
RESULTS  SLIPS)HAVITAKUBALIWA
5.  Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
6.  Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
7.  Kila  msailiwa  aje  na  cheti  halisi  cha  kuzaliwa  (Original  Birth
Certificate)
8.  Kwa  wale  waliosoma  nje  ya  Tanzania  wahakikishe  vyeti  vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
9.  Wale  ambao  majina  yao  hayakuonekana  katika  tangazo  hili
watambue  kuwa  maombi  yao  hayakufanikiwa  na  wasisite  kuomba
tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.
10.  Wasailiwa watakaofaulu mtihani wa mchujo wazingatie mahali na
tarehe za usaili wa mahojiano kama ilivyooneshwa kwenye tangazo
hili.

USAILI NFRA TAREHE 25-29 MEI 2015(Call for Interview)

0 comments:

Post a Comment