Onyo la TCU kuhusu waliodahiliwa moja kwa moja Vyuo Vikuu TAARIFA KWA UMMA
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ina mamlaka kisheria kusimamia na kuratibu udahili wa Wanafunzi wote wanaojiunga na Vyuo Vikuu vyote nchini Tanzania. Tume imebaini kuwa, hivi karibuni baadhi ya Vyuo Vikuu vimekuwa vikitangaza kudahili Wanafunzi moja kwa moja kupitia Vyuo vyao kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Ifahamike kuwa, utaratibu unaotambulika kisheria ni wa kudahili Wanafunzi kupitia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania na si vinginevyo. Hivyo mwanafunzi atakayeomba na kupatiwa udahili kupitia Chuoni moja kwa moja, udhili wake hautatambulika. Tume inapenda kusisitiza kuwa waombaji wote wenye sifa za kujiunga na Vyuo Vikuu wanapaswa kufuata tartibu na miongozo iliyowekwa na Tume. Taarifa hii imetolewa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu. Kwa mawasiliano zaidi, barua pepe es@tcu.go.tz na/au simu +255 222772657
Related Posts:
Driver, Unguja, Zanzibar, Tanzania Driver, Unguja, Zanzibar, Tanzania CHILD SAFEGUARDING Level 3 – the responsibilities of the post may require the post holder to have regular contact with o… Read More
Senior Dealer , Mwalimu Commercial Bank PLC Senior Dealer , Mwalimu Commercial Bank PLC Mwalimu commercial bank (MCB)Bank of Tanzania to operate as a commercial bank, and is in its final stages of setting up … Read More
Program Officer; Arusha, Dodoma, Zanzibar, Tanzania Program Officer; Arusha, Dodoma, Zanzibar, Tanzania DUTY STATION: ARUSHA, DODOMA ZANZIBAR. COMPANY DESCRIPTION: EngenderHealth is a leading global women'… Read More
Monitoring & Evaluation Coordinator Monitoring & Evaluation Coordinator "Sometimes in life there is that moment when it's possible to make a change for the better. This is one of those mom… Read More
Internship with Youth of United Nations, Dar es Salaam, Tanzania Internship with Youth of United Nations, Dar es Salaam, Tanzania Closing date: Thursday, 17 March 2016 Internship … Read More
0 comments:
Post a Comment