Mkurugenzi wa Nyanza Bottling Co. Ltd Mwita Gachuma Christopher Mwito Gachuma akizungumza na mashuhuda waliohudhuria makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa Kunywa, Kusanya na Ushinde. |
Anthonia Zacharia akipoa zawadi yake mara baada ya kujishindia. |
Omary Shahban akikabidhiwa TV.BAPA NCHI 32 na Mkuu wa mauzo Kampuni ya vinywaji baridi ya Nyanza Bottling Co. Ltd Japhet Kisusi. |
Richard China china akikabidhiwa TV NCHI 32 na Bw. R. K. Bala. . |
Ni Bi. Enelyne Aloyce akikabidhiwa TV NCHI 32 na Bw. R. K. Bala. |
Sebastina Ndize (R) akikabidhiwa zawadi ya Coffee Table. |
Wanahabari kikazi zaidi. |
Picha ya pamoja washindi wa Coffee Table. |
Washindi wa TIKETI ya kwenda BRAZIL, Saimon Charles (L) na Mohamed Kessy (R). |
Katika picha ya pamoja ni washindi wa TV NCHI 32. |
0 comments:
Post a Comment