Tuesday, May 13, 2014

HATARI LAKINI SALAMA SIKU NYINGINE TENA.

 
 
 

Ni hatari lakini salama: Nilimfuma kijana huyu asiye na makazi akiwa kajilaza sehemu ya hatari pembezoni mwa daraja la mto Mirongo, barabara ya Makongoro, Kliniki ya zamani jijini Mwanza, ambapo kama ikitokea akiwa usingizini akajigeuza, kuna hatari ya kuangukia kwenye mto wenye sakafu la zege akavunja shingo, kiungo chochote cha mwili au hata pengine kupoteza maisha, kwa bahati nzuri nilimuamsha kijana huyu akahamia sehemu iliyo salama na kuendelea kuuchapa usingizi.
Tizama engo aliyokuwa kajilaza.
Yote hayo yakiendelea kwa upande mwingine wa wachakarikaji ni siku nyingine tena mwendo ule ule kusaka dough.

Related Posts:

  • Ibrahim Leadership FellowshipsIbrahim Leadership Fellowships The Mo Ibrahim Foundation, in partnership with three of the world's most influential multilateral organisations has launched the Ibrahim Leadership Fellowships programme. Working with the Afri… Read More
  • A Safety Game for Kids   This is a 1980 board gamed called Let's Be Safe.                                       … Read More
  • Grants ManagerJob Title : Grants Manager Source : The Guardian, June 30, 2011 Requirements : The ideal candidate will have strong knowledge of USAID grants management policies and regulat… Read More
  • Director of Finance and AdministrationJob Title : Director of Finance and Administration Source : The Guardian, June 30, 2011 Requirements : An advanced degree in Finance, Management, Human Resource Management an… Read More
  • Neno la leoHere is your word for today:Verse:           1 Samuel 7:12Thus far the Lord has helped us. (Up to this point the Lord has helped us!) - We are halfway through the year.- Six months have passed and six months remain.- God has … Read More

0 comments:

Post a Comment