Mkurugenzi wa halmashauri ya mjiwa wa bariadi anatangaza nafasi za kazi kumina saba (17). Maombi ya kazi kujaza nafasi ya kazi yeyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa watanzania yeyote mwenye sifa zailizotajwa katika tangazo hili.
Nafasi zilizotangazwa ni kama ifuatavyo:-
KATIBU MAHSUSI III: NAFASI 5
Majukumu:
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka
• Kusaidia kutunza kumbukumbu/ taarifa za matukio , miradi, wageni na taarifa za vikao.
• Kusaidia kupokea wageni na kuwaelekeza.
• Kusaidia kufikisha ujumbe wa mkuu kwa msaidizi wake.
Ngazi ya mshahara: TGS B
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
• Awe amehitimu kidato cha nne IV
• Awe amehudhuria mafunzo ya uhadhili na kufaulu mtihani hatua ya tatu.
• Awe amefaulu somo la hati mkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
• Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za Microsoft office, internet na e-mail na publisher.
SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======
0 comments:
Post a Comment