Mkurugenzi wa halmashauri ya mjiwa wa bariadi anatangaza nafasi za kazi kumina saba (17). Maombi ya kazi kujaza nafasi ya kazi yeyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa watanzania yeyote mwenye sifa zailizotajwa katika tangazo hili.
Nafasi zilizotangazwa ni kama ifuatavyo:-
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI 3.
MAJUKUMU
• Awe amehitimu kidato cha nne IV
• Awe amehitimu mafunzo ya utunzaji wa kumbukumbu / majalda yanayohitajiwa na msomaji.
• Kuweka majalada katika makundi.
• Kuweka kumbukumbu, barua nyaraka nk. Katika majalada
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka.
Ngazi ya mshahara: TGS B
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
• Awe amehitimu kidato cha nne IV au cha sita VI
• Awe amehitimu masomo ya utunzaji wa kumbukumbu angalau katika ngazi cheti katika mojawapo ya fani za afya, masjala, mahakama au ardhi.
SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======

0 comments:
Post a Comment