Mkurugenzi wa halmashauri ya mjiwa wa bariadi anatangaza nafasi za kazi kumina saba (17). Maombi ya kazi kujaza nafasi ya kazi yeyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa watanzania yeyote mwenye sifa zailizotajwa katika tangazo hili.
Nafasi zilizotangazwa ni kama ifuatavyo:-
MSAIDIZI WA OFISI NAFASI 3
• Kufanya usafi waofisi na mazingira ya nje:
• Kusambaza barua za ofisi kama itakavyoelekezwa.
• Kuchukua na kupeleka majarada ofisi nyingine.
• Kuhifadhi vifaa vya ofisi.
• Kufunga milango na madirisha ya ofisi.
Kazi ya mshahara : TGOS A
Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne IV na awe amefaulu masomo ya hisabati na kingereza ,Kiswahili na hisabati.
SIFA NYINGINE ZA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40
• Maombi yake yaambatanishwe na picha ( PASSPORT SIZE) na vielelezo vya sifa zake.
• Cheti cha kuzaliwa kiambatanishe pia.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugezi halmashauri ya mji
S.L.P. 526 Bariadi.
Tangazo limetolewa leo tar 05/11/2014
Mwisho wa kupokea mombi ni tar 25/11/2014 saa tisa na nusu alasiri.
=======
0 comments:
Post a Comment