Wednesday, October 15, 2014

NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- NAFASI 15.



NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- NAFASI 15.
NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- NAFASI 15.
a) sifa
i.    Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe na astashahada /cheti katika moja ya fani zifuatazo utawala, sharia na elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo kinacho tambuliwa na serikali.
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45.
c)    Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.


0 comments:

Post a Comment