NAFASI ZA KAZI AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA III
a) sifa
i. Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatujamii au vyuo vingine vinavyotambliwa.
iii. awe na umri usiozidi miaka 45.
B. MSHAHARA: Mshahara: ngazi ya TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.

Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.

0 comments:
Post a Comment