Wednesday, October 15, 2014

NAFASI ZA KAZI MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA DARAJA LA II- NAFASI 6



NAFASI ZA KAZI MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA DARAJA LA II- NAFASI 6
NAFASI ZA KAZI MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA  DARAJA LA  II- NAFASI 6.
A) sifa
 i.   awe na elimu ya kodato cha IV au VI
ii. awe na cheti za utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za afya, masjala, mahakama na ardhi.
iii. awe na umri usiozidi miaka.
b)     Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.


0 comments:

Post a Comment