Wednesday, October 15, 2014

NAFASI ZA KAZI MSAIDIZI WA OFISI- NAFASI 4.



NAFASI ZA KAZI MSAIDIZI WA OFISI- NAFASI 4.
NAFASI ZA KAZI MSAIDIZI WA OFISI- NAFASI 4.
a). sifa
i.  awe na elimu ya kidato cha IV
ii. awe  amefauru vizuri katika masomo ya kingereza, Kiswahili na hisabati.
iii. awe na umri usiozidi miaka  45
vii.    Mshahara : ngazi ya TGSOA.A sawa  n ash. 655,000/= kwa mwenzi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.


0 comments:

Post a Comment