Wednesday, October 15, 2014

NAFASI ZA KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III- NAFASI- 4



NAFASI ZA KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III- NAFASI- 4
NAFASI ZA KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III- NAFASI- 4
a) sifa
i)  Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii) awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mitihani wa hatua ya tatu
iii. awe amefaulu  somo la hatimkato ya kingereza na Kiswahili maneno 80 kwa dakika moja.
iv. Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa serikali na kupata cheti katika program za window, Microsoft office, e- mail na publishers.
v. Awe na umri usiozidi miaka 45.
b.    )Mshahara: ngazi ya  TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.


0 comments:

Post a Comment