Wednesday, October 15, 2014

NAFASI ZA KAZI FUNDI SANIFU MSAIDIZI –NAFASI 5.



NAFASI ZA KAZI FUNDI SANIFU MSAIDIZI –NAFASI 5.
NAFASI ZA KAZI FUNDI SANIFU MSAIDIZI –NAFASI 5.
a)  sifa
i. Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe na cheti za mafunzo ya mwaka mmoja katika moja ya fani za ufundi kutoka chuo mojawapo ya fani za ufundi.
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45.
vi. mshahara: ngazi ya  TGS.A sawa na sh. 295,000/= KWA MWEZI.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za  vyeti vya elimu, taaluma na chati  cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014  saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.


0 comments:

Post a Comment