Washukiwa waliouza pombe hiyo wameripotiwa kukamatwa Pombe hiyo iliyopewa jina la 'Countryman', inasemekana iliwekwa sumu aina ya Methanol na kusababisha baadhi ya waliokuwa wamekwenda kuibugia kufariki huku wengine wakisalia hali mahututi na wengine kupoteza uwezo wao wa kuona.
Washukiwa waliouza pombe hiyo wameripotiwa kukamatwa

0 comments:
Post a Comment