Monday, September 2, 2013

HATIMAYE SHEGGY ALIETAMBA KATIKA TAMTHILIA YA KIDEDEA ITV, SASA AAMUA KUWA DIRECTOR! CHEKI PICHA 36 ZA BEHIND THE SIN YA MOVIE ALIDIRECT LEO JIJINI TANGA, SAMBAMBA NA WAKONGWE WENZIE.




HATIMAYE SHEGGY ALIETAMBA KATIKA TAMTHILIA YA KIDEDEA ITV, SASA AAMUA KUWA DIRECTOR! CHEKI PICHA 36 ZA BEHIND THE SIN YA MOVIE ALIDIRECT LEO JIJINI TANGA, SAMBAMBA NA WAKONGWE WENZIE.
 Kwa wale waliotazama Tamthilia iliotikisa nyoyo za watanzania kwa jina almaarufu Kidedea kipindi kilichorushwa na Runinga ya ITV Nafikiri msanii huyu mnakumbuka japo amebadilika kimuonekano na hata umri, Kushoto ni ''SHEGY'' akiongoza filamu inatakayotambulika kwa jina la
( WHEN WOMAN LOVE ) Ilioandaliwa na ''Daudy siraji'' huko jijini Tanga leo 01/09/2013.

 Mzee magali akifurahi na Shabiki maeneo ya kwa minchi katika bar inayotambulika kwa jina ''The city''..
Kushoto ni msanii chipukizi akiwa na mdau wa website ya www.masainyotambofu.com Nico Sonara
 Mzee Jengua na Sheggy wakijadiliana kuhusu movie hio..

 Mlimbwende anaetarajiwa kufunika katika movie hio huyu hapa akiwa katika pozz na Nico Sonara.
Jengua na Magali
 Camera man wa kampuni ya SOPHIA RECORD'S na Sheggy wakihama location
 Mzee Magali




















 Nico Sonara



Related Posts:

  • Fundi Umeme Fundi Umeme SIFA ZA MWOMBAJI KWA JUMLA • Awe na cheti cha taaluma husika mfano. Elimu ya mifugo, ukarani na n.k • Cheti cha kidato cha nne, si… Read More
  • CLINICAL OFFICER (3 positions) - NIMR Mbeya CLINICAL OFFICER (3 positions) - NIMR Mbeya NIMR - Mbeya Medical Research Centre is one of the NIMR centres located in Mbeya within the Mbeya Referral Hospital compound. The cent… Read More
  • AMUA SASA! PROJECT COORDINATOR AMUA SASA! PROJECT COORDINATOR Closing date: 5pm (East African Time), Tuesday 25th November 2014 Contract Length: 1 year  Reports to: Project Manager, Am… Read More
  • Dereva Wa Mauzo (x 4) Dereva Wa Mauzo (x 4) SIFA ZA MWOMBAJI KWA JUMLA • Awe na cheti cha taaluma husika mfano. Elimu ya mifugo, ukarani na n.k • Cheti cha kidato c… Read More
  • EMPLOYABILITY TRAINING TOOLKIT CONSULTANCY EMPLOYABILITY TRAINING TOOLKIT CONSULTANCY Closing date: 5pm East African Time, 24th November, 2014. Interview date: TBC Salary: A total amount of Tshs … Read More

0 comments:

Post a Comment