Tuesday, August 27, 2013

Jengo la “Samaki Samaki” Mbezi laungua moto

Jengo la "Samaki Samaki" Mbezi laungua moto
Taarifa zilizopatika muda mfupi uiopita inapasha kuwa kiota cha starehe cha Samaki Samaki tawi la Africana huko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kimeteketea kwa moto ambao chanzo chake halisi hakijajulikana bado.

Timu ya mafundi wa DAWASCO wanaokarabati na kuhamisha bomba la maji walikuwa katika eneo hilo.

Hizi ni picha zilizotumwa mitandaoni za kilichotokea kabla ya zimamoto kufika na kuanza juhudi za kuzima moto huo usisababishe madhara zaidi.

Hizi ni picha zilizotumwa mitandaoni za kilichotokea kabla ya zimamoto kufika na kuanza juhudi za kuzima moto huo usisababishe madhara zaidi.

0 comments:

Post a Comment