Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga, Hamis Mgeja baada ya mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama mkoani humo, jana, Oktoba 27, 2012.
Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (kushoto) akimlaki Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipowasili Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Bugarama, mkoani humo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama, Mabala Mlolwa.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana kw furaha na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja walipokutana katika Kata ya Kakola, kabla ya kwenda kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM kata ya Bugarama mkoani humo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa katika mapokezi ya wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM za udiwani kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Madiwani wa Kata za Kahama wakiwa na mgombea Udiwani wa CCM, Kata ya Bugarama katika wilaya hiyo Nixon Ikoko wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani katika kata hiyo, uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia mkutano wa kampeni a uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakati akimuombea kura mgombea udiwani wa CCM Kata ya Bugarama, kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika mji mdogo wa Bugarama.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Bugarama, Nixon Igogo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM.
Wazee wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipohutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Kina mama wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Kata ya Bugarama , Kahama mkoani shinyanga
Mzee wa miaka 98, Nickson Toma akifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama mkoani Shinyanga uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akicharaza ngoma kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Sinyanga Hamis Mgeja wakishiriki kucheza ngoma ya Baswezi kwenye mkutano wa kampeni za udiwani kata ya Bugarama mkoani humo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakishiriki kucheza ngoma ya Baswezi, katika kijiji cha Buyange, Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM kata ya Bugarama.
Wananchi katika kata ya Bugarama , Kahama mkoani Shinyanga, wakishangilia wakati wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakiwa na watafiti wa madini kutoka kampuni ya Majordrilling, katika kijiji cha Kakola wilayani Kahama mkoani Shinyanga.Picha na Bashir Nkoromo
0 comments:
Post a Comment