Sunday, October 7, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 DAR ES SALAAM PART



Kutoka kushoto ni Dj Jack, Dj Pq, The master na Denis. 

Afisa Habari wa Clouds Media Group Mr. Simalenga akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Baraka Kondisaga aliyehudhuria tamasha la Fiesta Dar es salaam ambako yuko kwaajili ya kazi za kiserikali.

Afisa Habari wa Clouds Media Group Mr. Simalenga akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Baraka Kondisaga (katikati) aliyehudhuria tamasha la Fiesta Dar es salaam ambako yuko kwaajili ya kazi za kiserikali nami kulia nikisikiliza point.

Hapa kulikuwa na raha zake bwana.

Edgar Mapande akienjoy u-drinki wa wadhamini..



Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani akionesha mbwembewe zake kabla ya kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar














0 comments:

Post a Comment