Basi la kampuni ya Dar Express lililokuwa linafanya safiri zake Dar es Salaam – Arusha limeteketea kwa moto mchana huu maeneo ya Segera mkoani Tanga.
Mpaka sasa hakuna taarifa za Majeruhi au watu waliokufa katika tukio hilo. Kwa habari zaidi endelea kuperuzi .
Habari zitawajia punde.
0 comments:
Post a Comment