ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwanachi Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga (kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Emmanuel Nchimbi ripoti ya Kamati aliyoiundwa kuchuguza kifo cha aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi. Kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Issaya Mngulu. Mkabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 6, 2012. (Picha: Rafael Lubava/MWANANCHI
MCT, TEF English.pdf | |
File Size: | 582 kb |
File Type: |
MCT, TEF Kiswahili.pdf | |
File Size: | 517 kb |
File Type: |
Ripoti ya wazi ya Kamati.pdf | |
File Size: | 264 kb |
File Type: |
Ripoti ya zote zimepatikana via email.
0 comments:
Post a Comment