Mmoja wa Wazee wa Iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki Bibi Nazarine Mwagala akifanya maombi muda mfupi kabla ya kufungua mkutano wa wazee wa jumuiya hiyo ambao hukutana kila siku ya Alhamisi kupeana taarifa za maendeleo ya kesi yao ambayo wameifungua kwenye Mahakama ya Afrika kanda ya Arusha ambapo kwa mujibu wa maendeleo ya kesi hiyo kuna kila dalilili ya kupata ushindi.
Nuru Hamisi nae alisoma dua kwa niaba ya Waisilamu kwenye Mkutano huo. |
Hapa Wazee hao wakinunua dokument za mwenendo wa kesi hiyo ikiwa ni sehemu ya mchango kwaajili ya kulipia gharama mbalimbali za kuendesha vikao hivyo.
Wazee hao wakiwa wamechanganyika na vijana ambao ni warithi wa deni hilo waliloachiwa na wazazi wao wakifuatilia kwa makini mchakato wa kesi hiyo. |
Mzee Emilian Belege ni miongoni mwa wazee waliozungumza na kuwasihi wenzake kuwa na umoja kwenye mchakato huo.
0 comments:
Post a Comment