Wednesday, August 8, 2012

Operesheni M4C ya CHADEMA kuanza leo mjini kilosa Morogoro




Uchaguzi ndani ya Chama na Operesheni Sangara
Ratiba mpya ya operesheni Sangara baada ya maagizo ya Kamati Kuu iliyokaa tarehe 9 July 2012 ya kusimamisha uchaguzi ndani ya Chama. Kamati Kuu iliamua uchaguzi uwe ukifanyika katika Operesheni Sangara.


DATEENEO HUSIKA SHUGHULI
104/08 2012 Kanda ya katiUzinduzi wa operesheni
208/8-19/08/ 2012 Dodoma,singida,iringa manyara na morogoroOperesherni uchaguzi ngazi ya kata.
319/09-30/09/2012 Makao makuuMaandalizi
Tathimini ya operesheni
401/10-20/2012 Baadhi ya maeneo ya Lindi, Dsm,Pwani, Bagamoyo na TangaOPERESHENI
Uchaguzi ngazi ya matawi na kata
521/10/30/10/2012 Makao makuuTathimini
Maandalizi
601/11-20/11/2012 Kilimanjaro na ArushaOperesheni
Uchaguzi ngazi ya matawi
721/11-30/11/2012 Makao makuuTathimini
maandalizi
801/12-20/12/2012 Shinyanga,Tabora na SimiyuOperesheni na uchaguzi ngazi ya matawi na kata
901/01-25/01/2013 Mwanza,Geita, Mara na kagera
1026/01-30/2013 Makao makuuTathimini
1101/02-20/02.2013 Kigoma, katavi RukwaOperesheni na uchaguzi ndani ya chama
1221/02-30/02/2013 Makao makuuTathimini ya operesheni
1301/03-25/03/2013 Mbeya, njombe na RuvumaOperesheni uchaguzi
1426/03-30/03/2013 Makao makuutathimini
1501/04-25/04/2013 ZanzibarOperesheni na uchaguzi
1626/04-30/04/2013


0 comments:

Post a Comment