WAZIRI
WA NCHI OFISI YA RAIS ASIYE NA WIZARA MAALUM ,PROF.MARK JAMES MWANDOSYA
AKITOKA NJE YA BUNGE NA KUWA NA MAZUNGUMZO NA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE
(CCM) KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO.
MWANAHARAKATI
MAMA TERRY GBEMUDU AKIWA NA MAZUNGUMZO NA MAWAZIRI, WA KWANZA KUSHOTO
NI WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE NA NAIBU WAZIRI WA
MALIASILI NA UTALII MHE. LAZARO SAMUEL NYALANDU KATIKATI BUNGENI MJINI
DODOMA
WAZIRI
MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA,
KUSHOTO NI FARAJA KOTA NYALANDU) NA NANCY SUMARI WALIPOPATA NAFASI YA
KUTEMBELEA BUNGE MJINI DODDMA LEO
BAADHI
YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA LA MARIAN GIRLS WAKISIKILIZA KWA
MAKINI WAKATI WA MAJADILIANO YA BUNNGE WALIPOPATA NAFASI YA KUINGIA
BUNGENI MJINI DODOMA LEO
WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO VYO HABARI WAKIRIPOTI HABARI ZA BUNGE MJINI DODOMA.
MBUNGE
WA VITI MAALUM (CCM MARA) MHE. ESTER BULAYA WATATU KUSHOTO AKIZUNGUMZA
NA MAMISS WALIOPITA, WA KWANZA KUSHOTO NI FARAJA KOTA-NYALANDU), WA PILI
NI NANCY SUMARI PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA BUNGE KULIA, NJE YA VIWANJA
VYA BUNGE MJINI DODDMA LEO.PICHA ZOTE NA ANNA ITENDA – MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment