Waziri wa Nchi, Uhusiano na
Uratibu, Mhe. Stephen Wassira (Kulia) akimsikiliza kwa makini Mhe. Fan Xiaojian,
Waziri, Ofisi Kiongozi ya Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, inayohusika na masuala
ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini (Katikati). Kushoto ni Mkalimani wa Waziri
huyo.
Washiriki wa Kongamano wakiwa makini kufuatilia mawasilisho
na mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango
(Kushoto) akizungumza na mmoja wa washiriki wa Kongamano hilo Li Xin kutoka
China.
Naibu Katibu Mtendaji (Uzalishaji) wa Tume ya Mipango, Maduka
Kessy (Katikati) akizungumza na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Wadau wa habari nao hawakuwa nyuma katika kunasa matukio ya
Kongamano hilo.
0 comments:
Post a Comment