Raha ya wapendanao ,Miss Sabina Alexander akiwa katika
pozi ya picha na mchumba wake Kasian Ernest ,baada ya kutole mahali na
kuvishwa pete ya uchumba katika hafla iliyofanyika Mbezi Beach jijini
Dar es Salaam.
Kasian Ernest, akimvisha pete mchumba wake Sabina Alexander
wakati wa sherehe ya kutolewa mahali ilyofanyika nyumbani kwao Mbezi
Beach jijini Dar es Salaam.
Kasian Ernest, akiwa na mchumba wake na Rafiki yake mkubwa Prisca
(kulia) wakati wa sherehe ya kutolewa mahali ilyofanyika nyumbani kwao
Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. iliyoambatana na hafla ya kuvishwa pete.
Vifaa mbalimbali vya mahari viitolewa
Wadau Wakipiga msosi wa nguvu
Picha ya Pamoja baada ya Sherehe
0 comments:
Post a Comment