
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe, Naibu
Balozi, Mheshimiwa Chabaka Kilumanga, akiwa pamoja na Wanamichezo wa
Tanzania wanaoiwakirisha nchi kwenye Michezo ya Olimpiki kwenye kijiji
cha Olimpiki.

Balozi, Naibu Balozi, Maofisa wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania na
Wenyeji wao wa kujitolea (Volunteers), wakiwa kwenye picha ya pamoja
kwenye kijiji cha Olimpiki, London.

Wawakirishi kutoka nchi mbalimbali, wakati wa ufunguzi rasmi wa
kuwakaribisha Wanamichezo wote kwenye Kijiji cha Olimpiki, shughuli hiyo
ya ukaribishaji wa Wanamichezo hao ulifanya jana tarehe 26 Julai 2012.
Wanamichezo hao walipata nafasi ya kukutana na ndugu na jamaa zao
ilikuwapa Motisha ya Ushiriki wao kwenye Michezo hiyo.
0 comments:
Post a Comment