CHUO KIKUU ARDHI
KUITWA KWENYE USAILI
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala , Chuo
Kikuu Ardhi (ARDHI UNIVERSITY) anawatangazia waombaji wafuatao
kuhudhuria kwenye Usaili wa Mchujo kwa kada mbali mbali siku ya
Jumanne tarehe 22/03/2016, saa moja na nusu asubuhi (1:30) Chuo
Kikuu Ardhi (Ardhi University Campus).
Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti halisi utafanyika kabla ya usaili kuanza.
2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne,
sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea
kutegemeana na sifa za mwombaji.
4. "Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati
matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI
RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA. 6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
8. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
9. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara
nafasi za kazi zitakapotangazwa.

0 comments:
Post a Comment