Tuesday, May 19, 2015

Afisa Mtendaji Kijiji - MISUNGWI



Afisa Mtendaji Kijiji - MISUNGWI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI ANAWATANGAZIA WANANCHI NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI KAMA IFUATAVYO

(B) AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III TGS A/B- NAFASI 1

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa kwa waliohitumu kidato cha IV au VI na waliohitimu Astashahada ya maendeleo ya Jamii, sheria, Mipango ya Maendeleo vijijini kutoka vyuo vinavyotambulika na serikali

MASHARTI YA JUMLA
Awe raia wa Tanzania
Awe mwenye maadili mazuri
• Hajafukuzwa kazi
• Hajapunguzwa kazi
• Hajafungwa na kupatikana na kosa la jinai
• Awe tayari kufanya kazi eneo lolote Misungwi bila kuhama kwa kipindi cha miaka 5
• Barua ya maombi iambatanishwe na picha (2) za sasa passport size na vivuli (photocopy) vya vyeti vya elimu na Taaluma
• Andika namba ya simu ya mkononi katika barua ya maombi ili kurahisisha mawasiliano
Mwisho wa kupokea maombi ni 30/05/2015 saa 9:00 alasiri

APPLICATION INSTRUCTIONS:

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 20
MISUNGWI


Related Posts:

  • Personal SecretaryAnswerable to Office Management Secretary Qualification and Experience Holder of Ordinary Diploma in Secretarial Services with certificate in Management Development Program for Executive Assistants Level I & II from a rec… Read More
  • MTENDAJI WA MTAA (II)NAFASI 7HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYINGA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya shinyanga anatangaza nafasi za kazi kwa mujibu wa kibali cha ajira chenye kumb.Na.CB 170/376/01/B/56 cha tarehe 7/8/2014 … Read More
  • HUMAN RESOURCE OFFICER II (ONE POST)Answerable to Senior Human Resource and Administrative Officer Qualifications and Experience Holder of a Bachelor Degree/Advanced Diploma in Human Resource Management/Public Administration from a recognized University/Institu… Read More
  • SENIOR INTERNAL AUDITOR (1 POST)Reports to the chief internal auditor. the successful candidates will be responsible for coordination of internal audit plans.JOB DIMENSIONS:• Supervises the conducting of internal audits of brunches and head office.• Prepare… Read More
  • EMPLOYMENT OPPORTUNITY JOS.HANSENEMPLOYMENT OPPORTUNITY JOS.HANSENJos Hansen & Soehne (T) Limited is subsidiary company of Jos.Hansen & Soehne GmbH with head office in Hamburg/Germany. The local company has a high reputation for supplying and service… Read More

0 comments:

Post a Comment