Kutokana na tarehe 12/12/2014 kuwa siku ya mahafali katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira anawatangazia wasailiwa wote waliotakiwa kuhudhuria Usaili tarehe 12/12/2014 katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), sasa usaili utafantika tarehe 17/12/2014. HAKUNA mabadiliko ya muda na mahali pa usaili.
Tunasikitika kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Tunasikitika kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
0 comments:
Post a Comment