Monday, December 29, 2014

TANGAZO LA KAZI - ADOR TANZANIA LIMITED



TANGAZO LA KAZI - ADOR TANZANIA LIMITED
TANGAZO LA KAZI
-----------------------------------------------------------------
kampuni ya kizalendo ya ADOR TANZANIA LIMITED, inatangaza kazi kwa vijana wa kitanzanzaia wenye utaalam, uzoefu, ujuzi, Ari, na uwezo wa kutumia Kompyuta na Nyenzo zake ambapo ni pamoja na uelewa wa matumizi ya Mitandao ya Kijamii.
Nafasi inayotangazwa ni Social Networking Public Relations officer na ni kwa ajili ya matumizi ya Teknolojia tu.
KAZI.
-kusimamia (Ku-manage) Website ya Kampuni
-kusimamia (ku-manage) Accounts za Mitandao ya kijamii ya Kampuni kama vile, Facebook, Twitter, Insta gram, what sap, Blogs na nyinginezo.
-kuitangaza kampuni na shuhuli zake kupitia Mitandao mbali mbali ya kijamii
-kutangaza Bidhaa za kampuni
-kutangaza miradi ya kampuni. Iliyopo sasa na ijayo.
SIFA ZA MWOMBAJI
mwombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo.
- awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea
- awe na uwezo wa kufanya kazi zote zilizoainishwa hapo juu na kwa ufanisi
- awe mbunifu na mwenye kupenda kujifunza zaidi
- awe ameshafanya shuhuli kama hii angalau miezi mi 3 kabla.
- awe na utaalam wa kutumia Kompyuta hata wa kujifunzia ukubwani (kipaji/utundu) sio lazima asomee (japo wenye Taaluma hiyo wana nafasi ya kuomba)
KUTUMA MAOMBI
maombi yanatakiwa kutumwa kabla ya tarehe 01.01.2015. Na maombi yote yatumwe kwa njia zifuatazo.
Email :- adortanzanialtd@gmail.com. Au
md. adortz @gmail.com
Au - mwombaji afike makao makuu ya Kampuni
ADOR TANZANIA LIMITED
BARABARA YA SAMORA
JENGO LA KITEGA UCHUMI
NIC-INVESTMENT HOUSE
GHOROFA YA SITA - WING A
www.adortanzania.com


0 comments:

Post a Comment