Sunday, November 16, 2014

MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II) – NAFASI 4



MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II) – NAFASI 4
Kumb. Na EA.7/96/01/H/18 13 Novemba, 2014

4.0 MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II) – NAFASI 4

4.1   MAJUKUMU YA KAZI

       Sehemu ya Upimaji Milki (Cadastral Survey)

         Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.

       Sehemu ya Topographic na Geodetic Surveys

Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye komputa.

       Sehemu ya Ramani

         Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment);

       Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)

       Kutunza kumbukumbu za picha za anga.

       Sehemu ya Hydrographic Surveys

                         -Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.

       Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa

       Kufanya kazi za nje ya Ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.

4.2   SIFA ZA MWOMBAJI

       Kuajiriwa wenye Stastahada ya juu/Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS). Au
       Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au National Council of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimaji ardhi.

4.3   MSHAHARA

Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS E kwa mwezi. 

NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.

Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45

i. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa. 

ii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo. 

iii. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili. 

iv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika. 

v. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.

- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. 

- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI 

- Computer Certificate 

- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards) 

- Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma. 

vi. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) 

HAVITAKUBALIWA. 

vii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA). 

viii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi. 
ix. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010. 

x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. 

xi. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 27 Novemba, 2014 

xii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI. 

xiii. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo. 

Katibu,
AU
Secretary,
Sekretariati ya Ajira katika

Public Service Recruitment
Utumishi wa Umma,

Secretariat,
SLP.63100,

P.O.Box 63100
Dar es Salaam.

Dar es Salaam.



0 comments:

Post a Comment