Sunday, November 9, 2014

JOB VACANCY WARD EXECUTIVE OFFICER II ( Afisa mitaa) ( X 15)



JOB VACANCY WARD EXECUTIVE OFFICER II ( Afisa mitaa) ( X 15)
WARD EXECUTIVE OFFICER II ( Afisa mitaa) ( X 15) POSITION DESCRIPTION:

From Mwananchi

NGAZI YA MSHAHARA TGSC Application Deadline: 25 Nov 2014

Awe na Elimu ya Kidato cha nne au sita.
Awe amehitimu mafunzo ya Stashahada (Diploma) katika moja ya fani zifuatazo: -Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayasi ya Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Mji wa Babati.
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwombaji (CV).
Waombaji waliosoma nje ya nchi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Barazala Mitihani la Taifa (NECTA).
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa 9:30 Alasiri.
. Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi vote yatumwe kwa anwani ifuatayo:

Mkurugenzi wa Mji, Halmashauri ya Mji,
S. L. P. 383
, BABATI.

Omari M. Mkombole MKURUGENZI WA MJI BABATI


If you are qualified for this position

  • Please follow the application instructions


0 comments:

Post a Comment