Friday, September 5, 2014

MSAIDIZI WA MCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA




MSAIDIZI WA MCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA
From the Mwananchi Newspaper of 5th September
Shirika la Masoko ya Karikaoo ni Shirika la Umma lililoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.32 ya mwaka 1974 na kupewa majukumu ya kusimamia na kuendesha Soko Kuu la Kariakoo pamoja na Masoko mengine yatakayokuwa chini ya usimamizi wa Shirika pia kujenga Masoko mengine mapya katika Jiji la Dar es Salaam na kusimamia uendeshaji wake. Shirika linakaribisha maombi ya kazi


Msaidizi wa Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta
Sifa:
Awe na Ehmu ya Kidato cha Sila pamoja na Stashahada ya Kompyuta kutoka katika Chuo kinachotambulika kisheria.
Kazi na Majukumu
• Kuendesha server ya mtandao wa Kompyuta.
• Kusajili watumiaji wapya kwenye mtandao wa Kompyuta na kutafsiri kiwango cha matumizi.
• Kutoa mafunzo kwa watumiaji wapya wa Kompyuta kutunza tovuti ya Shirika.
• Kutoa vigezo sahihi wakati wa ununuzi wa vifaa vya Kompyuta na mifumo yake.
• Kutafuta sababu ya mifumo kushindwa kufanya kazi na kutoa ushauri sahihi.
• Kufanya shughuli zozote za kikazi atakazopangiwa na Mkuu wa Kitengo cha Tehama cha Shirika.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla
Muombaji sharti awe raia wa Tanzania
Barua ya maombi, ikiambatishwa na wasifu binafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nne au sita, mafunzo, cheti cha kuzaliwa.
Nakala moja fiumwe kwa njia ya kawaida "hard copy' na nyingine kwa njia ya mtandao "soft copy' ifumwe kwa andersonshaka@yahoo.com
MENEJA MKUU
Shirika la masoko ya Kariakoo
SLP 15789
DAR ES SALAAM


0 comments:

Post a Comment