Thursday, August 14, 2014

PERFECT BINDER OPERATOR




PERFECT BINDER OPERATOR TANZANIA PRINTERS LIMITED INAPENDA KUWATANGAZA NAFASI ZA KAZI KATIKA VITENGO
VIFUATAVYO
3. Perfect Binder Operator Nafasi -1

SEHEMU YA Kazi: DAR-E5-SALAAM.
MAJUKUMU:
Kuendesha mashine za kukunia kushona na kugundisha vitabu pamoja na machapisho mbalimbali.

KIWANGO CHA EUMU:
ALIYEHITIMU VETA NA MWENYE UJUZI WA MASHINE HIZO.

MSHAHARA:
KULINGANA NA MUUNOO WA MISHAHARA WA TANZANIA PRINTERS LIMITED.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

MSHAHARA:
KULINGANA NA MUUNDO WA MISHAHARA WA TANZANIA PRINTERS LIMITED.
MWENYE SIFA/VIGEZO HIVYO ATUME MAOMBI YAKE KWA ANWANI IFUATAYO

MENEJA UHUSIANO 
TANZANIA PRINTERS LIMITED
 S. L P. 451 DAR ES SALAAM 
TEL: 0222866776 - 80
MWISHO WA KUpOKEA MAOMBI UTAKUWA TAREHE 26.08.2014
info@tanzaniaprinters.com

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment