Kutoka Mwananchi 25 August
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wakufanya kazi kwa mkataba kwa masharti yaliyoainishwa kama ifuatavyo:-
Mtunza Bohari: Nafasi (1)
v" Sifa za waombaji:
Awe na stashahada ugavi
Ama cheti cha form IV na form VI Awe na passport 3
Awe na Barua ya U dhamini
v" Majukumu
Kutunza ghala la vifaa
Kupokea vifaa vipya vitakavyoletwa na wazabuni mbalimbali
Kutoa vifaa kwa wateja na
watumiaji wengine
Kuandaa hati za kupokelea vifaa Kufungua na kutunza "Bin Card"kwa kila kifaa kilichopo ghalani
Watakaofaulu usaili watalipwa mshahara utakaokuwa umeainishwa kwenye mkataba ya ajira hii.

Afisa Manunuzi Msaidizi Nafasi (2)
v" Sifa za mwaombaji:
Awe na stashahada ya manunuzi au ugavi
Ama cheti cha form IV au form VI Awe na passport size 3
Awe na Barua ya Udhamini.
v" Majukumu
Kuaandaa mpango wa manunuzi na kukusanya takwimu za vifaa vinavyohitajika
Kukusanya na kutunza takwimu za utendaji za wazabuni mbalimbali Kusimamia utunzaji wa maghala na hati
Kusimamia upokeaji,utunzaji na usambazaji wa vifa~ ghalani Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyomo ghalani kila mwisho wa mwaka
Afisa Mtendaji wa Kata II: Nafasi (12)
v" Sifa za mwombaji
Awe na Shahada ya moja ya fani zifuatazo:
Uongoziwa Utumishi, Rasilimali watu, Sosholojia, Sheria na fani nyingine zinazofana na hizo
Awe na Cheti cha fomu N na VI Wasifu wake (CV)
Barua ya Uthamini
Passport size 3
v" Majukumu
Kuandaa mpango kazi wa maendeleo wa Kata na kuwasilisha kwa Mkurugenzi wa halmashauri
Mhamasishaji wa umma katika mikakati ya uzalishaji mali ili kuondoa njaa na umaskijni Kutafasri na kusimamia utekelezaji wa sera,sheria ,kanuni na miongozo ya serikali
Kupanga mikakati ya kuzuia na kukabili majanga katika kata

1. Afisa Usalama nafasi (2)
1: 1 Majukumu ya kazi
v" Kusimamia mifumo ya ulinzi na usalama katika maeneo na mali za Halmashauri
v" Kuripoti katika sehemu husika kuhusiana na hali yeyote ya wizi
v" Kushughulikia matatizo ya watu yanayohusiana na ulinzi na usalama kama kuandika taarifa zao na kuzipeleka sehemu husika
v" Kusimamia uingiaji wa wageni na magari katika majengo ya Halmashauri
v" Kufanya ukaguzi kwenye vituo vya ulinzi
v" Kutekeleza majukumu yote kama atakavyokuwa amepangiwa na mkuu wake wakazi
1:2 Sifa za Mwombaji
v" Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha nne au cha sita.
v" Awe mstaafu wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi wa Tanzania au Jeshi la kujenga Taifa
v" Mwenye uzoefu wa kutumia silaha za mota
v" Umri usiozidi miaka 40 isipokuwa kwa wastaafu wa jeshi la polisi/ Jeshi la Wananchi (JWTZ) na awe amepitia mafunzo ya masuala ya Usalama (security)
v" Awe hajawahi kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai ndani na nje ya kazi alizowahi kuzifanya.
v" Awe na vyeti sahihi vya Elimu yake v" Awe na vyeti/cheti/barua ya kustaafu kwake na asiwe alifukuzwa kazi.
v" Aeleze ana mke Zmume na watoto wangapi, wako wapi na wanafanya nini.
v" Awe raia wa Tanzania.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Jinsi ya kuomba:
Waombaji wote waliokidhi vigezo watume maombi yao kwa:-
Mkurugenzi Jiji S.L.P.3013
ARUSHA
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI SIKU 14 TOKA TAREHE YA KUTANGAZWA KWA NAFASI HIZI KWENYE GAZETI HUSIKA.
IMETOLEWA NA:
J.A.R.IDD
Mkurugenzi wa jiji
arusha

0 comments:
Post a Comment