Thursday, August 14, 2014

FOLDER GLUER MACHINE OPERATOR




FOLDER GLUER MACHINE OPERATOR
TANZANIA PRINTERS LIMITED INAPENDA KUWATANGAZA NAFASI ZA KAZI KATIKA VITENGO
VIFUATAVYO
5. Folder Gluer Machine Operator - 1

SEHEMU YA Kazi: DAR-E5-SALAAM.
MAJUKUMU:
Kuendesha mashine za kukunia kushona na kugundisha vitabu pamoja na machapisho mbalimbali.

KIWANGO CHA EUMU:
ALIYEHITIMU VETA NA MWENYE UJUZI WA MASHINE HIZO.

MSHAHARA:
KULINGANA NA MUUNOO WA MISHAHARA WA TANZANIA PRINTERS LIMITED.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

MSHAHARA:
KULINGANA NA MUUNOO WA MISHAHARA WA TANZANIA PRINTERS LIMITED.
MWENYE SIFA/VIGEZO HIVVO ATUME MAOMBI YAKE KWA ANWANIIFUATAYO
MENEJA UHUSIANO TANZANIA PRINTERS LIMITED S. L P. 451 DAR ES SALAAM TEL: 0222866776 - 80
MWISHO WA KUpOKEA MAOMBI UTAKUWA TAREHE 26.08.2014


Related Posts:

0 comments:

Post a Comment