Wednesday, June 25, 2014

Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi, 2014




Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi, 2014 Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2014 ambao waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013

Wanafunzi waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai 2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa shule walizopangiwa, hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama inavyoonekana katika matokeo haya.

TAARIFA YA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA TANO

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014 



MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2014 ARUSHA TECHNICAL COLLEGE (ATC)

WASICHANA


WAVULANA


DAR-ES-SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT)

WASICHANA



WATER DEVELOPMENT & MANAGEMENT INSTITUTE ( WDMI) - DAR ES SALAAM

WASICHANA


WAVULANA


MBEYA INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIST)

WASICHANA


WAVULANA



Chanzo cha taarifa: www.pmoralg.go.tz

0 comments:

Post a Comment