Thursday, May 15, 2014

Wafanyabiashara wafanya mkutano kujadili maswala ya kibiashara ya Afrika Mashariki

 
 
 

001 KCB

Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa  Benki ya KCB Tanzania,Teresia Soko akitoa mada  kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa Wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania,Ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la jumuiya ya afrika mashariki.

002 KCB

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard Sesibera (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika mashariki,Felix Mosha,wakati wa mkutano wa wafanyabiashara mbalimbali kutoka mikoa ya pembezoni mwa Tanzania.Mkutano huo uliandaliwa na Benki ya KCB Tanzania na kufanyika jijini Arusha.

003 KCB

Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Felix Mosha akitoa mada wakati wa mkutano ulioandaliwa na Benki ya KCB Tanzania kwa wafanyabiashara wa  mikoa iliyopo mipakani mwa Tanzania.Waliokutana jijini Arusha,kujadili mashwala mbalimbali ya kibiashara katika soko la jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment