Monday, May 19, 2014

SIKU YA UANUWAI WA UTAMADUNI DUNIANI KUADHIMISHWA MEI 21 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

 
 
 
 
 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 Mei kila mwaka leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Pro. Hermas Mwansoko.Picha na: Genofeva Matemu

0 comments:

Post a Comment