Saturday, May 24, 2014

MAREHEMU SIMON MALOSHA KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR




MAREHEMU SIMON MALOSHA KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR
Familia ya bwana Simon Malosha wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ. 

Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.

Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato Mwanza, Dada yake mkubwa wa Mwanza, waumini wote wa Kanisa la Mlima wa Moto Dar es Salaam ndugu, jamaa na marafiki wote wanao husika na msiba huo.


Related Posts:

  • Project Assistant, Tanzania Project Assistant, Tanzania Location: Tanzania Reports to: Project Manager Contract duration: 6 months (with possible extension) – anticipated to start… Read More
  • Product Development Intern Product Development Intern WomenCraft offers an opportunity to gain professional experience in the product development of our woven product range. The Product … Read More
  • Sales and Market Development Intern Sales and Market Development Intern An opportunity for a young professional to gain experience in Sales, Marketing and Communications fields with WomenCraft, a … Read More
  • Research Officer, Tanzania Research Officer, Tanzania Location: Dar Es Salaam, Tanzania Reports to: Research Manager Contract duration: 6 months fixed contract Salary: … Read More
  • Project Intern, Tanzania Project Intern, Tanzania Location: Tanzania Reports to: Research Officer Contract duration: 6 months (with possible extension) – anticipated to start Sep… Read More

0 comments:

Post a Comment