Thursday, May 29, 2014

MANAGER

NAFASI YA KAZI (KWESINE INSURANCE AGENCY LIMITED)
Tunayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, fursa hi ni kwa mtu yoyote aliyemaliza cheti katika masomo ya BIMA na kufaulu katika chuo kinachotambulika na serikali ya Jamihuri ya Muungano ya Tanzania.
Wadhifa:MANAGER
Idadi Ya watu:Nafasi moja (1)
Malipo:ya kuridhisha(Competetive salary)
Eneo la Kazi:Bariadi-Simiyu na Kanda ya ziwa

SIFA ZA MWOMBAJI:

1. AWE NA ELIMU YA NGAZI YA CHETI NA KUENDELEA KWENYE MASWALA YA BIMA
2. AWE NI RAIA MWEMA NA ASIYE NA KESI YOYOTE YA JINAI
3. AWE NI MTU WA KUJITUMA NA KUJISIMAMIA MWENYEWE
4. AWE NA AKILI TIMAMU
Wahi sasa nafasi ni chache (First come First serve)
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20/06/2014
Tuma maombi yako kwa anuani hapo chini, AU wasiliana nasi kwa maelezo zaidi -0756-027849 ,0763997755,0768684790,

Tunakutakia Mafanikio mema.

MWANDIKIE:MKURUGENZI MTENDAJI
KWESINE INSURANCE AGENCY LIMITED
S.L.P 156 BARIADI-SIMIYU
E-MAIL:mnyambuenterprises@yahoo.com

0 comments:

Post a Comment