Sunday, May 18, 2014

Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi yapita bila kupingwa

 
 
 

PG4A9520

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu wake, Pereira Sirima (kulia) wakipongezwa na Wabunge baada ya bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma May 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9513

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William  Lukuvi, bungeni mjini Dodoma.

PG4A9525

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga (kushoto) na Mbunge wa Viti Maaliam, Lediana Mng'ong'o bungeni mjini Dodoma.

 

0 comments:

Post a Comment