

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais Mstaafu, Benjamimin Mkapa wakitoka kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa kujadili haki na amani kwenye masuala ya ardhi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment