BASI UNAAMBIWA HILI NI KABULI LA DC WA KWANZA WA UINGEREZA HAPA BONGO, ALIJIUA KISA KUMFUMANIA MKE WAKE NA HOUSE BOY. SOMA ZAIDI KUMHUSU HAPA
BAGAMOYO: hili ni kaburi wa DC wa kwanza wa Waingereza, William Francis, aliyejiua baada ya kushuhudia house boy akivunja amri ya sita na mke wake. Amezikwa mbali na makaburi mengine kuonyesha kuwa kwanza hakuwa mjerumani, pili alijiua. Inasemekana Waingereza waliinyanyapaa maiti kwa kosa la kujiua.
0 comments:
Post a Comment