Wednesday, August 14, 2013

KCB yatoa msaada wa mashine ya ultrasound Ngarenaro, Arusha



KCB yatoa msaada wa mashine ya ultrasound Ngarenaro, Arusha
Picture
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha, Bi. Juvita Lubuva (kulia) akimsikiliza jambo Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw. Michael Kivuyo (kushoto) pindi alipomkabidhi msaada wa mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh milioni 14 iliyotolewa na benki hiyo kwa Kituo cha Afya cha Ngarenaro.



0 comments:

Post a Comment